MAKING KNOWN THE MANIFOLD WISDOM OF GOD TO ALL HUMANITY
SERVING AS HEAVEN’S AMBASSADORS HERE ON EARTH, RECRUITING MEN AND WOMEN TO THE KINGDOM OF GOD,WHILE TEACHING PRACTICAL SOUND DOCTRINE.
RATIBA YA VIPINDI VYA MASOMO(PROGRAM OF STUDY)
Masomo yanachukua kati ya miezi sita hadi miaka minne kutegemea kama mwanafunzi anasoma cheti ,diploma , degree, ama masters na pia kujitolea kwake.( Takes between six months and four years depending on your course and speed of study)
2. Tuna program za home based yaani kufundishwa popote ulipo na mitandaoni.( We also have Internet and Home based study programs…
3. You do not need to quit your job and your family and go to college for a long time.
4. The student will be sent lessons and exams to his or her email and after studying and taking the exams the student will return the exams through the college email…….)
5. Wanafunzi ambao hawajatimiza vigezo hufundishwa pia mradi tu wanajua kuongea lugha yoyote.
6. Tuna semina pia zinazowalenga viongozi makanisani ,wakiwepo vijana , wazee wa makanisa akina mama n.k
(OFF COMPUS STUDY PROGRAM : OUR OFF COMPUS IS DESIGNED TO EQUIP CHURCH LEADERS _PASTORS PASTORS WIVES, OTHER CHURCH LEADERS _WOMEN AND MINISTERS)
AFFILIATION
We are affiliated to TECHM (Iowa U.S.A) and Christian Life school of Theology global (a member of clen -Christian life educators network )
MCHANGO WAKO
Ada zetu ni nafuu…….tumetoa punguzo la asilimia 95.
VIGEZO VYA KUJIUNGA
Kwa masomo ambayo ni (formal) mwanafunzi lazima aaifahamu lugha ya kiswahili au kingereza.
NJIA ZA KUFUNDISHIA
Njia kuu ya kufundishia nipale mwalimu anapompa mwanafunzi mwongozo na kujisomea mwenyewe
Kuna masomo mtandaoni na pia chuoni.
Lugha zinazo tumika rasmi ni kiswahili, kingereza ama kinyarwanda.
Lugha zingine zinakubalika kukiwepo mpngo kati ya mwalimu na mwanafunzi.You are in a ministry to make a difference in your community. This programme will sharpen you for effective ministry that will impact people with transformational work of Gospel your skills will be sharpened for better:-
Preaching
counseling
Biblical exesis
.Missional practices
.Develop relationship with ministry mentors
.Prepare for your future in ministry opportunities etc.
Tunapatikana pia (We are also available at )Logindo, Dar es salaam, Namanga, Tarakea, Manyara in Tanzania. Kenya: Nairobi, Narok and Kajiando. Rwanda: Kigali, Kinyinya. Congo: Goma